MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI MOSHI :-Tazama namna Askari wakionesha umahiri wakati wa sherehe zilizofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi Moshi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 09, 2015

MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI MOSHI :-Tazama namna Askari wakionesha umahiri wakati wa sherehe zilizofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi Moshi.

Askari Polisi wahitimu wakionesha umahiri wa kucheza Karate… wakati wa sherehe za ufungaji wa mafunzo hayo zilizofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi Moshi.
Askari Polisi wahitimu wakionesha Umahiri katika kutumia pikipiki wakati wa kudhibiti uharifu.

Pichani juu na chini ni Askari Polisi Wahitimu wakionesha mbinu mbalimbali walizofundishwa .









Askari wahitimu wa kike wakionesha namna ambavyo walivyofundishwa matumizi ya Bastola.


Askari Polisi wahitimu wakionesha namna ya kushusha wagonjwa kutoka gorofani.



Askari Polisi wakionesha namna wanavyoweza kupambana na waharifu kwa kutumia kisu.BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI.

Askari Polisi wa kike wakionesha namna ambavyo wanaweza kutumia kisu kupambana na mharifu.


Wahitimu wakiwa katika picha ya Pamoja….Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad